Watu wasiojulika

Watu wasiojulika

mabuba

Senior Member
Joined
Dec 5, 2006
Posts
133
Reaction score
90
Katika mitandao inayoongoza upatikanaji wa watu wasiojulikana ni JF.

Watu wengi wasiojulikana wamo humu, humu ndio makazi yako. Robo tatu ya wanaJF hawajulikani, hivyo ni watu wasiojulikana.

Hii ni Nyumba ya watu wasiojulikana​
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Madame S
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
angalie usihusishwe na aliyewazuilia watu wasiofahamika kutimiza majukumu yao !
 
hawa watu ni hatar wapo mpaka kwenye nokia zetu... yaani ukiiwasha kuna watu wanapeana mikono na hatuwajui mpaka sasa ni wawapi
 
Back
Top Bottom