Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Hili jambo nimewaza muda mrefu na nimekuwa nashangaa watu hawajaweza kung'amua hili jambo.
Kipindi kile ambacho matukio ya watu kupotea na kuuawa yalipozidi, kauli iliyokuwa inatolewa na vyombo husika vya uchunguzi ikawa ni kuwa watuhumiwa na wahusika ni "watu wasiojulikana".
Imefika wakati watu wasiojulikana imekuwa siyo swali la ni kina nani hao watu bali imegeuka ni identity ya wahusika.
Cha ajabu ukiunganisha dots ni kuwa wahusika halisi wanaohisiwa kutenda matendo haya pia kihistoria na kiutendaji ni watu wasiojulikana.
Kiufupi, tumepewa jibu kabla ya swali na tumebaki tunauliza swali wakati jibu lipo katika swali lenyewe.
PS. Niliwahi kusikia kuwa ukitaka kuficha kitu, basi kifiche eneo la wazi. Nadhani ndicho walichofanya.