Watu wasiojulikana wadaiwa kufuatilia Msafara wa Heche na kupiga picha kila wanapokuwa

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Alichoandika mwanahaarakati Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa Instagram

"Hawa watu ambao mnawaona kwenye hii picha ni watu wasiojulikana, wanafuatilia msafara wa Makam Mwenyekiti John Heche tangu ameanza ziara Kanda ya Kaskazini na msafara ukifika uwanjani wao wanafanyakazi ya kupiga picha ambazo hatujui wanaenda kuzifanyia nini na muda huu wapo kwenye mkutano wa Makam ambao unaendelea huko Tarakea"

IMG_3174.jpeg

hilda_newton_chadema_1792247775_4009987398504576572_1414151370.jpg
 
Alichoandika mwanahaarakati Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa Instagram

"Hawa watu ambao mnawaona kwenye hii picha ni watu wasiojulikana, wanafuatilia msafara wa Makam Mwenyekiti John Heche tangu ameanza ziara Kanda ya Kaskazini na msafara ukifika uwanjani wao wanafanyakazi ya kupiga picha ambazo hatujui wanaenda kuzifanyia nini na muda huu wapo kwenye mkutano wa Makam ambao unaendelea huko Tarakea"

View attachment 3692941
Huenda itakua ni wale waliokasirishwa na matusi yake dhidi ya Freeman Aikaeli Mbowe na familia yake 🐒
 
Alichoandika mwanahaarakati Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa Instagram

"Hawa watu ambao mnawaona kwenye hii picha ni watu wasiojulikana, wanafuatilia msafara wa Makam Mwenyekiti John Heche tangu ameanza ziara Kanda ya Kaskazini na msafara ukifika uwanjani wao wanafanyakazi ya kupiga picha ambazo hatujui wanaenda kuzifanyia nini na muda huu wapo kwenye mkutano wa Makam ambao unaendelea huko Tarakea"

View attachment 3692941
Wapelekeni ahera fasta
 
Mbona sioni wanapiga picha?
 
Hao ni wa kuuwa shenzi kabisa
 
Heche anatakiwa afunguliwe kesi ya ugaidi, hivyo wanakusanya matukio watakayotumia kwenye hiyo kesi. Hawa ndio watakuwa mashahidi wa kificho. Kwenye kesi ya Lisu shahidi mmoja tu ndio alikuwa mkutanoni, sasa wanataka kwenye kesi hii wawepo mashahidi wengi live. Kwenye kesi ya Lisu ni kama amewafungua macho jinsi ya kutengeneza ushahidi, hata kama ni wa kubambikia, basi wakidhi baadhi ya vigezo ili kuifanya mahakama isionekana imefuata maelekezo toka juu.
 
Back
Top Bottom