Watu wasiojulikana wanafanya kile kile walichokuwa wanafanya Interahamwe wa Rwanda

Interahamwe walikuja tumika tena na kabila ni kikundi cha waasi sio machawa wale
Inahitaji umakini sana kunielewa mkuu sana tena sana basi naomba ufatilie kuhusu hao Akazu ndipo utanielewa nikisema Inter walikua machawa , nikimaanisha walikua wanaongozwa na hao Akazu kwa maslahi yao binafsi
 
Hata wasiojulikana wana-mabosi wao wanaowatuma mkamate yule au kampe hela yule
 
Umeambiwa hao watekaji walipata nguvu sana wakati wa Magufuli, na Samia alitaka kuwapotezea, ila ameona anawahitaji bado.
Kwa hiyo na yeye ni dhalimu?

Vipi haupigi mwingi tena?
 
Yeye mwenyewe jiwe, na Makonda kwa sehemu fulani.
Hayupo sasa!

Vipi kiongozi wao ni nani?

😂😂😂Nikikumbuka ilivyokuwa unademka humu eti mama siyo dhalimu, anaupiga mwingi, amefungua nchi.
. Aibu tupu
 
Kwa hiyo na yeye ni dhalimu?

Vipi haupigi mwingi tena?

..mtizamo wa mwanzo kuhusu Mama Abduli ulikuwa sahihi.

..wananchi walimpa nafasi kuonyesha yeye ni mtawala wa aina gani.

..bila shaka wapo waliosifia kupitiliza. Hao wanajulikana ktk jamii ya Watanzania.

..lakini kadiri siku zinavyosonga Mama Abduli anazidi kupoteza imani ya wale waliotamani haki, na mabadiliko ya kweli, ktk utawala wake.
 
Aibu kwa mwanamke wa kwanza kuangukia hiki cheo na kujihusisha na na magenge ya utekaji na uuaji.

Nimeona pia jinsi atakavyo ondoka madarakani kwa njia kama ya Marcos wa Ufilipino.
Baada ya ubaya wake ni aibu inamngoja.
Hana damu ya Mwinyi huyu kwa fununu na tetesi bali ni asili ya mwarabu wa Oman karudi kutawala nchi.
Mzee mwinyi ni mtu muungwana ambaye ameacha alama ya kukumbukwa vizazi na vizazi vijavyo.
 
Hayupo sasa!

Vipi kiongozi wao ni nani?

😂😂😂Nikikumbuka ilivyokuwa unademka humu eti mama siyo dhalimu, anaupiga mwingi, amefungua nchi.
. Aibu tupu
Kwamba sifa nilizompa wakati ule ni za kudumu? Ama unadhani kwasababu yeye anafanya haya sasa, ndio dhalimu magu atataka? Tulimsema dhalimu magu kutokana na tabia yake, na huyu naye tutamsema akiendekeza hii tabia ya dhalimu magu. Dhalimu magu alikuwa dhalimu, na hilo halibadiliki kisa mama wa kambo naye anaanza kumuiga. Hutaki jinyonge.
 
Mwendazake alikuwa kama Haybriana na naona watu wasiojulikana wamerudi upya
 
Hahahaahah mama akimbie Marcos dah
 
Waliokuwa wanamtazama mama Abdul kitofauti na jiwe walikuwa wapumbavu sababu mama Abdul alikuwa makamu wa jiwe!
 
Jinyonge wewe uliekuwa unademka eti mama anaupiga mwingi, amefungua anafungua nchi, anawafuta machozi.
 
Jinyonge wewe uliekuwa unademka eti mama anaupiga mwingi, amefungua anafungua nchi, anawafuta machozi.
Tafuta kwenye post zangu kama kuna hilo neno la kipuuzi sijui anaupiga mwingi. Ninachojua sio dhalimu kama magu, fullstop.
 
Waliokuwa wanamtazama mama Abdul kitofauti na jiwe walikuwa wapumbavu sababu mama Abdul alikuwa makamu wa jiwe!

..Kuna video moja ya Mama Abduli akiwa Makamu wa Mwenyekiti Bunge la Katiba ilinipa muelekeo ni mtu wa aina gani, lakini alipokuwa Raisi I wanted to give her the benefit of doubt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…