Watu wasiojulikana

Watu wasiojulikana

Kuuund lilipewa carz maalumu kuchafua Siri Kali ya Pombe kwa kufanya mauag ya sili pia walianzisha wanaharakat wa ndani na nje ya aridh wadanganyika Ili kuaminisha jamii kuwa siricarli inauwa watu ivi fikiria kwa viroba vilivyo kuwa vinasemwa hatukuwahi sikia mtz yoyote akisema ndg zake wamepotea

Mipango Yao ilikuwa kama ifuatavyo
1.uwepo wa tasisi ya kigogo wahusika wake baadhi walikuwa karibu na rahisi wa awamu five
2.pia akina zto waliwezeshwa kusafiri kwa ajili ya kumsiriba jpm
3.mpango wa ukuta ulilatibiwa Ili kuleta sitofahamu kwa nchi ya wadanganyika ndo maana mratibu wa mapindz hayo alifurahi sana alipomuona mwezeshaji wake adi akafanya [emoji1702] nae huko ugaibuni
[emoji23]
 
Kwenye hili la Lisu hukuwahi kuongea kama mwanaume, bali ulikuwa unaongea kama mvulana.
Duh...!.
  1. Kwanza kuna uwezekano mimi ndiye nilimponza Lissu baada ya kupandisha bandiko hili Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
  2. Baada tuu ya shambulio zikaanza ramli chonganishi nikasaidia Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
  3. Kwa vile shambulio limefanywa na watu wasiojulikana, nikaendesha darasa kuhusu wasiojulikana hawa Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
  4. Kufuatia possibility ya wasiojulikana kuwa sio wasiojulikana bali 'wasiojulikana', nikaishinikiza Idara yetu, kama haihusiki iwakane TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
  5. Wazazi wangu wote wawili, Baba Mzee Andrew Mayalla, na mama, both deceased now, wote walikuwa maofisa wa juu wa Idara, Baba was involved kwenye ile Kesi ya Mauaji Mwanza, mama alivishwa medals twice, na Nyerere na Mwinyi. Wakati Mzee alipofariki, he was nobody!. Mama alipofariki Idara did everything!. Tribute to Silent Heroes!. Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till Death!”. Jee Huu Sio Ubaguzi?. Why Only Some are Cared to Death but not All?!, hivyo nikajifunza, don't trust anybody! hata mkeo!, hivyo nikamshauri Lissu not to trust anyone! Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?
  6. Lissu alipopata snafu akahojiwa Hard Talk ya BBC, nikatia Neno Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
  7. Lissu akagoma kurudi mpaka ahakikishiwe usalama wake, ni mimi tena niliompa hakikisho hivyo akakubali kurudi Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
  8. Kwa vile mimi ni mwandishi wa IJ, waandishi wa IJ tuna uwezo wa kuwabaini wasiojulikana hivyo nikajitolea Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
  9. Serikali ilikosa pa kuanzia, nikajitolea kusaidia Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!
  10. Serikali yetu mpaka sasa imeshindwa kuwabaini hawa wasiojulikana, nikajitolea WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Ukitaka 11-20 naweza kukupa, ukitaka 20- 30 naweza kukupa!, naweza kwenda hadi 50!. Sina uhakika kama kuna member humu ameandika kuhusu wasiojulikana kama mimi!. Hayo mabandiko ni ya kivulana?.
P
 
Hata ungekuwa na post 1,000 bado ulichokuwa unaandika tulikiona, na tuna uwezo wa kuelewa kwa kiwango cha kuridhisha. Sikulaumu sana maana ni verified user, na wakati ule ungeandika ukweli kuhusu jambo lile, ungekuwa na Azory Gwanda saa hii.

Lakini kubwa kuliko yote, maelezo yako kwenye shambulio lile ilikuwa ya kufurahisha mamlaka za uteuzi, ili zikuangalie kwa jicho la huruma, ndio maana pia ulijitosa kwenye uchaguzi wa 2020, ukiamini ulitenda makubwa ya kuilinda serikali ile, hivyo ulistahili payback, ambayo haikutokea pia.
 
Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana?

Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama:

~ Mauaji ya Kibiti.

~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni.

Lakini haya yote yalimezwa na watu wasiojulikana.

Swali: Je, ni nani alikua nyuma ya hili?

Mada mezani.

Watu wasiojulikana hadi leo wapo, ila wanakosa tu mazingira wezeshi. Lakini wakipatiwa mazingira wezeshi wanarudia tabia yao kama ilivyokuwa kipindi cha dhalimu.
 
Hata ungekuwa na post 1,000 bado ulichokuwa unaandika tulikiona, na tuna uwezo wa kuelewa kwa kiwango cha kuridhisha. Sikulaumu sana maana ni verified user, na wakati ule ungeandika ukweli kuhusu jambo lile, ungekuwa na Azory Gwanda saa hii.
Thanks for understanding Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
Lakini kubwa kuliko yote, maelezo yako kwenye shambulio lile ilikuwa ya kufurahisha mamlaka za uteuzi,
Twende nyuma na mbele, kwenye hayo mabandiko 10, lipi ni la kufurahisha mamlaka?. Tena ungejua baada ya kupandisha bandiko hili TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! ... naomba tuu nisiseme, lakini...
Na sisemi sio kwasababu naogopa!, no!, sisemi kwasababu Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
ili zikuangalie kwa jicho la huruma, ndio maana pia ulijitosa kwenye uchaguzi wa 2020, ukiamini ulitenda makubwa ya kuilinda serikali ile, hivyo ulistahili payback, ambayo haikutokea pia.
Kati ya freedom zote, zina mipaka, the only absolute freedom, is freedom to think!, naomba niheshimu tuu mawazo yako.
P
 
Kuuund lilipewa carz maalumu kuchafua Siri Kali ya Pombe kwa kufanya mauag ya sili pia walianzisha wanaharakat wa ndani na nje ya aridh wadanganyika Ili kuaminisha jamii kuwa siricarli inauwa watu ivi fikiria kwa viroba vilivyo kuwa vinasemwa hatukuwahi sikia mtz yoyote akisema ndg zake wamepotea

Mipango Yao ilikuwa kama ifuatavyo
1.uwepo wa tasisi ya kigogo wahusika wake baadhi walikuwa karibu na rahisi wa awamu five
2.pia akina zto waliwezeshwa kusafiri kwa ajili ya kumsiriba jpm
3.mpango wa ukuta ulilatibiwa Ili kuleta sitofahamu kwa nchi ya wadanganyika ndo maana mratibu wa mapindz hayo alifurahi sana alipomuona mwezeshaji wake adi akafanya [emoji1702] nae huko ugaibuni
Utopolo huu
 
Thanks for understanding Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...

Twende nyuma na mbele, kwenye hayo mabandiko 10, lipi ni la kufurahisha mamlaka?. Tena ungejua baada ya kupandisha bandiko hili TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! ... naomba tuu nisiseme, lakini...
Na sisemi sio kwasababu naogopa!, no!, sisemi kwasababu Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

Kati ya freedom zote, zina mipaka, the only absolute freedom, is freedom to think!, naomba niheshimu tuu mawazo yako.
P
Tindo amekuchana live
 
Back
Top Bottom