Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #21
Pole sana broSure mkuu , very seriously...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana broSure mkuu , very seriously...!!
Ni kweli kabisaInayapa maisha thamani ukiishi au kukutana na watu kama hawa. Mungu awabariki sana.
Pole ya nini mkuu, Sijutii..!!Pole sana bro
400 womenNa mimi ni mtu wa muhimu kwa nani?
Not really! Just 400 video400 women
Tatizo nini mkuu? I mean kulitokea Nini?Sina ndugu
😁400 women
Wewe legend wa maana,umeikubali hali yako ya kutokuwa na ndugu na uko happy,huko ndio kukomaa sasaPole ya nini mkuu, Sijutii..!!
Nilitaka kumuuliza swali hilo,niliogopa huenda nikamuhumiza hisia zakeTatizo nini mkuu? I mean kulitokea Nini?
Afu nishagakukataza kusema kmmk.Mama
Mama
Mdogo angu
Faza
Sema ndugu upande wa faza wanakuaga jau jau sana kmmk 😂😂😂
Hivi wewe na POWER LUFUNGA mna mahusiano gani?"...oooh! It's just me, my self, and i.." G eazy
Story ndefu sana kaka...!!Tatizo nini mkuu? I mean kulitokea Nini?
Nisamehe naacha naaachaaaa mimi 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌Afu nishagakukataza kusema kmmk.
Talaka inakuhusu.
Yaah mkuu.!! Nitaandika uzi siku 1Wewe legend wa maana,umeikubali hali yako ya kutokuwa na ndugu na uko happy,huko ndio kukomaa sasa
Hivi wewe na POWER LUFUNGA mna mahusiano gani?
Bahati mbaya pia nina tabia izo ya kwanza mpaka ya tatu ni mimi kabisa huyo.Ni kweli kabisa
Itakuwa heshima sana kwangu kama utanikumbuka unitagYaah mkuu.!! Nitaandika uzi siku 1
Ukirudia tena nikufanyeje? sema mwenyeweNisamehe naacha naaachaaaa mimi 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Bahati mbaya au nzuri boss wanguBahati mbaya pia nina tabia izo ya kwanza mpaka ya tatu ni mimi kabisa huyo.