Watu watano wahajulikani walipo baada ya mashua kuzama wakisafiri kutoka Pemba kwenda Unguja

Watu watano wahajulikani walipo baada ya mashua kuzama wakisafiri kutoka Pemba kwenda Unguja

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Watu watano wahajulikani walipo baada ya mashua waliokuwa wakisafiria kutoka Pemba kuelekea Unguja, kupigwa na dhuruba na kisha kuzama.

Wananchi katika eneo la Mwambe Wilaya ya Mkoani, Kisiwani Pemba wamekusanyika katika eneo la bandari, wakisubiri hatma ya wenzeo watano waliokuwa wanasafiri kwa mashua kuelekea Unguja.

 
Back
Top Bottom