Watu watatu wamekamatwa baada ya Rais William Ruto kurushiwa kiatu katika Kaunti ya Migori

Watu watatu wamekamatwa baada ya Rais William Ruto kurushiwa kiatu katika Kaunti ya Migori

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Takriban watu watatu wamekamatwa kufuatia tukio la kutupwa kiatu kuelekea kwa Rais William Ruto katika eneo la Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori.

Soma Pia: VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu usoni akihutubia Wananchi wa Kehancha

Tukio hilo lilitokea Jumapili jioni wakati Rais Ruto alikuwa akihutubia umati wa watu.

Afisa wa usalama amesema kuwa watu zaidi wanatafutwa kwa tuhuma kwamba tukio hilo huenda lilipangwa mapema na wakosoaji wa kisiasa kabla ya ziara ya Rais Ruto.
===============
At least three people have been arrested after a shoe being thrown at President William Ruto in Kuria West, Migori County.

The incident happened when President Ruto was addressing a crowd on Sunday evening.

A security agent says more people are being pursued on suspicion that the act might have been pre-planned by political critics ahead of President Ruto's visit.
 
Kiatu kimoja kitarushwaje na watu watatu?
 
Leo ndio mnafahamu wakenya kuliko watekaji wa CCm
 
Back
Top Bottom