Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kuna tetesi za jeshi kumshikilia Rais na Waziri Mkuu wa Guinea-Bisau katika Mji Mkuu Bissau.
NB: Ni hivi karibuni jeshi liliipindua serikali ya nchi jirani ya Guinea-Conacry na sasa Guinea-Bissau wanajaribu.
===
Watu wawili wanasadikiwa kufariki katika Mji Mkuu wa Guinea-Bissau katika jaribio la kimapinduzi.
Milio ya risasi ilisikika karibu na jengo moja la Serikali ambapo inasemekana Rais Umaro Cissoko Embalo alikuwemo katika mkutano na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Nuno Gomes Nabiam.
Mpaka sasa haijulikani Rais huyo na Waziri Mkuu walipo lakini habari zisizo rasmi zinasema kuwa watu hao bado wamo ndani ya jengo hilo mikononi mwa washambuliaji.