zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
Huko West Africa nchi pekee iliyostaarabika ni Ghana.
Mfumo wao wa Ulinzi
Ni sawa na wa Tz
Hizi mambo za wajumbe kila baada ya nyumba 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko West Africa nchi pekee iliyostaarabika ni Ghana.
Ikifika na wewe utakuwa sehemu ya wanufaika au?Ni suala la muda tu, hiyo karma itafika hadi kwa kina chief hangaya wanao dhani hii nchi niya kwao na hakuna wa kuwafanya kitu.
Afu na wewe utakuwa mnufaika au?Napiga magoti nikiomba kitu kama hiki kifanyikee kwenye ardhi ya wadanganyika
Na yeye alifanywaje?Nayo Ni baada ya mbabe mmoja Jerry Rawlings kuinyoosha kwa miaka 20.
Aliwanyea.Na yeye alifanywaje?
Baada ya kuwanyea na yeye wakamfanyajeAliwanyea.
Wakampa zawadi ya mtandao pendwa.Baada ya kuwanyea na yeye wakamfanyaje
Mbona kafariki juzi tu salama usingizini na wamemzika kwa heshima zote baada ya msiba mrefu kuliko viongozi wote dunianiBaada ya kuwanyea na yeye wakamfanyaje
Mapinduzi hayahitaji watu wengi, wanajeshi wakiamua ndani ya lisaa, tayari Serikali imebadilika.Tzn hii Wanaoweza shabikia mapinduzi labda ni machadema waliokata tamaa ila wengine hawawezi kwa sababu gharama yake ni kubwa..
Hata wajeda wenyewe hawajazoea vita uwaambie waanze Shari Ili iwaje.
Pili mfumo wa ulinza wa serikali hautegemei jeshi tuu hadi mitaani kwa mabalozi,ukiweka kikao tuu tuna wewe..
Kama mapinduzi yalishindikana enzi za Julius na alipofariki Mwendazake saizi ndio ngumu kabisaa..
Tzn ije kuingia kwenye mapinduzi labda JK aje kuwa marehemu maana sijaona mtu mwingine mwenye nguvu ya kuweka cohesion.
Unadhani kupanga mapinduzi ni rahisi kama kumpanga demu wako unapotaka kumkula?Mapinduzi hayahitaji watu wengi, wanajeshi wakiamua ndani ya lisaa, tayari Serikali imebadilika.
umejitahidi kutungaKuna siku nilikuwa na jamaa fulani wa Morocco na guinea bisau lakini wote kwa sasa ni raia wa kifaransa..
Kwenye maongezi walisema,,tunatamani tungekuwa Colon la England..
Inchi zote colon za England wapo so smart.
Kuliko inchi colon za kifaransa.
Na why colon za kifaransa inchi zao zote 90% zina vurugu?
Shida tupu.
Inchi colon za England wana amani?
Mwishowe wakanambiya serikali ya France ni watu wa hovyo Sana,
Wao ndy choko choko wa Mambo yote yanayoendelea kwenye makoloni Yao..
Muhoozi ndonani jeshi likiamua kamuulize Gaddafi alikua namtoto wanamna gani jeshiniMuhoozi mtoto wa M7 ndiye boss