Watu wazima tuache kula vitu visivyo na ulazima

Samwel0759

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
19
Reaction score
11
Watu wazima tuwe na mipaka ya kula vitu visivyo lazima:-
Baba baada ya kumaliza kuchinja Mbuzi akaenda kuchoma pumbu za mbuzi jikoni.Mara Mbwa akachukua pumbu.
Watoto kwa sauti kubwa: Baba, Mbwa kachukua pumbu zako..!, Wakaanza kumfukuza acha pumbu za baba...! Mbwa huyoooo kachukua pumbu za baba,rudisha pumbu za babaa!, wewe acha pumbu za baba,pumbu za babaa!,-
Mtaa mzima watu mshangao......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…