Watu wengi bado wana mila za kiasili

Cassnzoba

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
3,661
Reaction score
6,913
WAKUU habari zenu.

Katika uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua kwamba waafrika wengi bado wanaendelea na nila zao za zamani japo chinichini ili watu fulani wasijue.

Kwa mfano watu wanaenda sana kwa waganga wa kienyeji wakipatwa na tatizo wakimtegemea kupata suluhu ya matatizo yao.

Kuna wachungaji kadhaa huwa wanakamatwa sehemu mbali mbali wakifanya ulozi.

Ukiachana na hilo, jumapili unakuta watu wamejaa makanisani mnoo, utafikiri kama sio wao....

Nilichokigundua ni watu wengi WAOVU wanajifichia kwenye dini. Karibuni kwa michango yenuuu wakuu
 
Ulichogundua kinakusaidia nini au kina wasaidia nini unaowaambia?
 
Una uhakika gani kama hizi dini za kuletewa ndiyo sahihi kuliko watu kuendelea kujinasibisha kwa ancestors wao?
 
Asili haiwezi kuisha itaendelea kuwepo labda ubadilike kutoka asili yako ya Mababu wa Kiafrika na Kwenda kwenye Asili ya Mababu wa Kizungu ama kiarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…