Mimi Fulani
Senior Member
- Sep 26, 2013
- 180
- 121
Kuna kitu nimekigundua watu wengi hawajui kuomba wasamehewe, kwanza kabisa kuna maneno mawili nayo ni samahani, nisamehe. Sasa ngoja niyadadavue kwa mamikini yanavyo takiwa yatumike
SAMAHANI
hili hutumika pale watu wanapokosana wote, kwa mfano "samahani sana tena unikome" hapo watu wanajibizana maneno, kwa hiyo hili neno halifai kuomba msamaha.
NISAMEHE
hili ndilo neno linalopaswa kutumika wakati wa kuomba msamaha
Natumaini nime eleweka. Sawa!

Nawe mmmmm! Nani kakuambia watu hawajui kuomba?