mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,336
Hiyo ni YOU ARE....ni UNA.au MNA.....ameandika kifupi tu You' reNa you’re?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni YOU ARE....ni UNA.au MNA.....ameandika kifupi tu You' reNa you’re?
Oh sawa mr mwandende, unanikumbusha mwalimu wangu alienifundishaga com skills for geoscientists, mr ndabakurane mwijandeHiyo ni YOU ARE....ni UNA.au MNA.....ameandika kifupi tu You' re
Mkuu hii ni shida hata kwa wenye lugha ( NorthnAmericans) hili linawasumbua sana.Kwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio
80% ya watumiaji wa mitandao duniani kote hufanya makosa haya ya kutofautisha matumizi ya you are na your na kwa Tànzania asilimia kubwa ya watu huchanganya matumizi ya you're na your
YOUR
Kwa huku kwetu Tanzania hupenda kufupisha kama ur kwa watumiaji wa SMS ,sasa your au ur hutumika nyuma ya noun, na huzungumzia haswa belonging
Mfano
1.is this your house ?
2.This is my pen
Makosa
Is that You're friend ×
Is that your friend √
Matumizi ya You're
Mfano
1.you are naive
2.you are an idiot
3.the problem is that you're still incompetent
Ukisema
Your brave × kosa kubwa
You're braive √
Nb:kuanzia leo sitarajii kwa mwana jf kufanya makosa ya kuchanganya matumizi ya you're na your
'...When you read all the comment...'English is the first problem in Tanzania .... When you read all the comment, it' s indisputable that we need to reshuffle our education system. Most of these comments are written by higher education graduands ...Mama Ndalichako, the minister of Education, take note of this issue. Its really damaging our reputation . should we either use English, the second language in Tz, or Kiswahili for academic and serious public issues?
Tenk yu chichaUkisema
Your brave × kosa kubwa
You're braive √
Nb:kuanzia leo sitarajii kwa mwana jf kufanya makosa ya kuchanganya matumizi ya you're na your
Your ni possessive adjective ambazo zinasimama badala ya jina noun au viwakilishi va majina pronoun to show possession...."Your" haikai nyuma ya pronoun.
Pronouns ni:
1.They, them, their, theirs & themselves.
2. We, us, our, ours & ourselves.
3. You, you, your, yours & yourself or yourselves.
4. It, it, its, & itself.
5. I, me, my, mine & myself.
6. She, her, hers, & herself.
7. He, him, his & himself.
Sasa katika hizo PRONOUNS wapi "your" inakaa nyuma?
Kula likeKwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio
80% ya watumiaji wa mitandao duniani kote hufanya makosa haya ya kutofautisha matumizi ya you are na your na kwa Tànzania asilimia kubwa ya watu huchanganya matumizi ya you're na your
YOUR
Kwa huku kwetu Tanzania hupenda kufupisha kama ur kwa watumiaji wa SMS ,sasa your au ur hutumika nyuma ya noun, na huzungumzia haswa belonging
Mfano
1.is this your house ?
2.This is my pen
Makosa
Is that You're friend ×
Is that your friend √
Matumizi ya You're
Mfano
1.you are naive
2.you are an idiot
3.the problem is that you're still incompetent
Ukisema
Your brave × kosa kubwa
You're braive √
Nb:kuanzia leo sitarajii kwa mwana jf kufanya makosa ya kuchanganya matumizi ya you're na your
Kwan we uoni hata maana ni tofauti kati ya your na you are? Your/chako,yako, you are wewe ni, hata maana kwa kiswahili yamejitenga pia! (Chako_wewe ni)Safi kabisa,
niongezee pia tofauti ya maneno haya ktk fonolojia.
Maneno You are yanatamkwa kwa kutenganishwa, yaani you inajitegemea na are inajitegemea lakini neno your linatamkwa kwa pamoja bila kutenganishwa.
Pia kwa sasa watu wengi hawajui jinsi ya kutumia 'I AM' badala yake huweka 'AM'Kwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio
80% ya watumiaji wa mitandao duniani kote hufanya makosa haya ya kutofautisha matumizi ya you are na your na kwa Tànzania asilimia kubwa ya watu huchanganya matumizi ya you're na your
YOUR
Kwa huku kwetu Tanzania hupenda kufupisha kama ur kwa watumiaji wa SMS ,sasa your au ur hutumika nyuma ya noun, na huzungumzia haswa belonging
Mfano
1.is this your house ?
2.This is my pen
Makosa
Is that You're friend ×
Is that your friend √
Matumizi ya You're
Mfano
1.you are naive
2.you are an idiot
3.the problem is that you're still incompetent
Ukisema
Your brave × kosa kubwa
You're braive √
Nb:kuanzia leo sitarajii kwa mwana jf kufanya makosa ya kuchanganya matumizi ya you're na your
hahahaaaaa idiotYour so idiot
Oooops you're so idiot....
hapo umeeleweka vilivyo upo sahihi sana together we are nimejifunza kitu wanaokosea ni wengi mnoooooKwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio
80% ya watumiaji wa mitandao duniani kote hufanya makosa haya ya kutofautisha matumizi ya you are na your na kwa Tànzania asilimia kubwa ya watu huchanganya matumizi ya you're na your
YOUR
Kwa huku kwetu Tanzania hupenda kufupisha kama ur kwa watumiaji wa SMS ,sasa your au ur hutumika nyuma ya noun, na huzungumzia haswa belonging
Mfano
1.is this your house ?
2.This is my pen
Makosa
Is that You're friend ×
Is that your friend √
Matumizi ya You're
Mfano
1.you are naive
2.you are an idiot
3.the problem is that you're still incompetent
Ukisema
Your brave × kosa kubwa
You're braive √
Nb:kuanzia leo sitarajii kwa mwana jf kufanya makosa ya kuchanganya matumizi ya you're na your
naunga mkono hoja ,yeye yupo sahihi alichokiandika ila kwenye hizo pronoun nadhani amewrong"Your" haikai nyuma ya pronoun.
Pronouns ni:
1.They, them, their, theirs & themselves.
2. We, us, our, ours & ourselves.
3. You, you, your, yours & yourself or yourselves.
4. It, it, its, & itself.
5. I, me, my, mine & myself.
6. She, her, hers, & herself.
7. He, him, his & himself.
Sasa katika hizo PRONOUNS wapi "your" inakaa nyuma?
in short form and long form pronunciationYou are= You're neno moja.
hapa kuna possessive na objectiveThanks mtoa post although sijaelewa vizuri
Naomba utoe mifano zaidi tuzidi kuelewa
Your lazy
You're lazy
You are lazy
Which is correct?