Watu wengi hawajui kutofautisha you're na your,. Kama ulikuwa na tatizo hilo ingia hapa ujisahihishe

Mkuu hii ni shida hata kwa wenye lugha ( NorthnAmericans) hili linawasumbua sana.
Kizungu cha kusoma darasani ni sahihi kuliko cha kurithi
Waafrica wengi waliosoma kizungu wakaspecialize kwenye Literature wana uwezo mkubwa wa kuandika kizungu kuliko mzaliwa wa lugha hiyo
Asante kwa huu utaratibu wa kutufundisha.
 
asante kwa msaada ila sisi wakata tuvumilie tu.
 
English is the first problem in Tanzania .... When you read all the comment, it' s indisputable that we need to reshuffle our education system. Most of these comments are written by higher education graduands ...Mama Ndalichako, the minister of Education, take note of this issue. Its really damaging our reputation . should we either use English, the second language in Tz, or Kiswahili for academic and serious public issues?
 
'...When you read all the comment...'

Aloo kweli Lugha ya wenyewe hii
 
Your ni possessive adjective ambazo zinasimama badala ya jina noun au viwakilishi va majina pronoun to show possession....

Kwa kiswahili hizi possessive adjective huitwa vivumishi vimilikishi.

Kwa mfano ninapotaka kusema hii nyumba ni YANGU. Nitasema hivi this is MY house.

Kwahiyo hapo utaona My inasima badala ya YANGU ikiwakilisha jina ktk Hali ya umiliki.

Kwa maana hiyo basi ata hii YOUR ni kivumishi kimilikishi ktk nafsi ya pili umoja au wingi.

Hii nyumba ni yako au hii nyumba ni yenu..... Zooote hizi zinakwenda ktk sentesi moja ya kirengesa kua THIS IS YOUR HOUSE.

Nakaribisha maswali kabla sijaendelea na udadavuzi
 
Kula like
 
Safi kabisa,

niongezee pia tofauti ya maneno haya ktk fonolojia.
Maneno You are yanatamkwa kwa kutenganishwa, yaani you inajitegemea na are inajitegemea lakini neno your linatamkwa kwa pamoja bila kutenganishwa.
Kwan we uoni hata maana ni tofauti kati ya your na you are? Your/chako,yako, you are wewe ni, hata maana kwa kiswahili yamejitenga pia! (Chako_wewe ni)
 
Mbona ata kwenye maana kwa upande wa kiswahil ujitenga kati ya neno Your na You are? Your(chako,yako)you are(wewe ni)
 
Your- ni yako/yenu (kivumishi kimilikishi)
You are/You're ni Una-/U ya hali mfano ugonjwa/unene nk (ni kiambishi cha nafsi na uyanikishi katiika kitenzi n.k)
 
Pia kwa sasa watu wengi hawajui jinsi ya kutumia 'I AM' badala yake huweka 'AM'
 
hapo umeeleweka vilivyo upo sahihi sana together we are nimejifunza kitu wanaokosea ni wengi mnooooo
 
naunga mkono hoja ,yeye yupo sahihi alichokiandika ila kwenye hizo pronoun nadhani amewrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…