Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Umakini unahitajikaTatizo saiv wataalam wa Afya ni wengi kuliko kawaida kila mtu anakuja na utaalam wake mwisho ndio wanasabanisha magonjwa zaidi.
Kweli vinatakiwa kutumia kwa kiasi na umakini mkubwaNi kwwli, vitu vichungu sana na vikali ni hatari sana kwa figo na Ini
Hii Ni miaka ya nyuma au ya mbele?😄 Mwandishi anatoa tahadhari kwa matumizi holela yasiyozingatia vipimo stahiki !Kwani miaka ya nyuma huko watu walikuwa wanatumia nini kujitibu?
Na Muasisi wa kuanzisha uzi na kujicomment mwenyeweMwandishi Ni mtaalamu wa masuala ya afya
Maisha ya watu wa enzi hizo yalikua tofauti sana na ya sasa, wengi mavitu ya viwandani walikua hawajui,,,,,kwa sasa kabla tu ya kutumia hizo dawa viungo vyako vimeshaathiriwa na sumu nyingi kuanzia vyakula, madawa ya hospitali, life style ukipata hizo dawa dozi ikazidi kidogo viungo kuharibika ni rahisi kuliko hao wa zamani,,, watu wa miti shamba walioenda shule kwa sasa ndo wameanza kuangalia swala la kipimo kwenye dawa zao hasa zile chungu/kali sana (maswala ya acidity na alkalinity )Kwani miaka ya nyuma huko watu walikuwa wanatumia nini kujitibu?
Kwani miaka ya nyuma hawakupatwa na matatizo ya Figo na Ini?Kwani miaka ya nyuma huko watu walikuwa wanatumia nini kujitibu?
Nam kkMaisha ya watu wa enzi hizo yalikua tofauti sana na ya sasa, wengi mavitu ya viwandani walikua hawajui,,,,,kwa sasa kabla tu ya kutumia hizo dawa viungo vyako vimeshaathiriwa na sumu nyingi kuanzia vyakula, madawa ya hospitali, life style ukipata hizo dawa dozi ikazidi kidogo viungo kuharibika ni rahisi kuliko hao wa zamani,,, watu wa miti shamba walioenda shule kwa sasa ndo wameanza kuangalia swala la kipimo kwenye dawa zao hasa zile chungu/kali sana (maswala ya acidity na alkalinity )
Tumia hasa mualovera kwa kuzidisha kiasi afu utaleta mrejesho wako hapaBabu yangu amekuwa akitumia mitishamba tangu akiwa mdogo hadi sasa anamiaka 101, kila kukicha yeye anatafuna mizizi tu. Hana tatizo la ini wala figo, hana kisukari wala presha.