Watu wengi hawajui kwamba Prof. Palamagamba Kabudi aliwahi kuwa mwanahabari kipindi kile cha vita vya Kagera

Watu wengi hawajui kwamba Prof. Palamagamba Kabudi aliwahi kuwa mwanahabari kipindi kile cha vita vya Kagera

Eti UDSM chuo bora huoni aibu! Ubora umesha isha kitambo sana, kwa sasa chuo pekee kilicho baki tanzani ni SUA tu, udsm na mzumbe ni kiwanda cha kuzalisha vilaza na kuwaleta mitaani huku kula rushwa na kufanya uchawa
Naam! UDSM ya Palamagamba ilikuwa UDSM kweli kweli!
Siyo hii unayoisema leo.
Hiyo SUA uisemayo imekuja jana tu wakati kina Palamagamba walishahitimu UDSM.
USIIDHARAU UDSM!
 
SUA kinatoa maarifa yake, ambayo kwa ambaye hayajui, atakuwa mweupe, the same kwa mtu wa SUA akienda pale Faculty of Engineering
Nimefanya kazi na engineers wa UDSM kwenye sites kadhaa, aisee bora hata wanao toka pale mbezi St .Joseph wapo competent compared to the so colled UDSM warriors, wengi ni vilaza kabisa blah blah nyingi na vingereza vya kwenye vitabu ila hamna kitu.
 
Naam! UDSM ya Palamagamba ilikuwa UDSM kweli kweli!
Siyo hii unayoisema leo.
Hiyo SUA uisemayo imekuja jana tu wakati kina Palamagamba walishahitimu UDSM.
USIIDHARAU UDSM!
Nafahamu UDSM ni chuo kongwe kabisa kihistoria na kimetoa ma legend wakuaminika kabisa na kilikuwa chuo chenye heshima sana hadi nje ya mipaka lakini kimesha haribiwa kabisa baada ya kukichanga na siasa ,kwa sasa SUA ndiyo kimebaki chuo changu bora kabisa kwa vyuo vya serikali
 
SUA hao wanakimbizana na mbuzi na Sungura?
Tanzania kwa sasa tumeshuka kwa kila ranking:

Hatumo kwenye nchi zenye top quality universities.

2024 Top 200 Universities in Africa​

Hatumo kwenye nchi zenye maendeleo Africa.
Some of the most developed countries in Africa include:
  • Nigeria: The most powerful economy in Africa, with a GDP of $477 billion in 2022.

  • South Africa: An industrial powerhouse.

  • Egypt: A strategic bridge.

  • Algeria: A resource-rich reformer.

  • Ethiopia: A rising star.

  • Morocco: A country of stability and innovation.

  • Kenya: An economic hub in East Africa.

  • Angola: A country diversifying for the future.
Other countries in Africa that are making progress in infrastructure development include: Mauritius, Seychelles, Tunisia, Libya, and Botswana.

Hatumo kwenye top countries zenye demokrasia.
Business Insider Africa
Top 10 African nations leading in democracy index rankings

The ranking is based on five crucial categories: electoral process and pluralism, political culture, political participation, functioning of government, and civil liberties. Each category receives a score ranging from 0 to 10, contributing to the overall democracy score.

Here are the top 10 African countries leading in the Democracy Index:

RankCountryScore
1Mauritius8.14
2Botswana7.81
3Cape Verde7.67
4Namibia7.20
5Ghana6.95
6Senegal6.88
7South Africa6.83
8Tunisia6.67
9Kenya6.55
10Madagascar5.70

Kila eneo la muhimu, tunaning'inia.
 
CCM Hata hawajali hilo kwa sababu kuna kundi dogo lenye nguvu ndani ya chama na serikali linalo pambana kulinda maslahi yake na liko tayari kufanya chochote bila kujali record ya nchi itakuwaje
 
THINKTANK YA NCHI UNAIPELEKA KUSHINDANA NA AKINA ZUCHU.

NCHI INA MADHAIFU YA SHERIA KILA KONA.

MAMAYENU HANA AKILI KABISA.
 
Kama alikuwa mwanahabarimkipindi cha vita ya Kagera, bado anafanya nini ofisini, huoni kuwa huyu ni Zinjanthropus
 
Mjiandae kwa propaganda
Kawekwa hapo kimkakati tu

Ova
 
Vita ya kagera hana cv yoyote kubwa

Ova
 
Habari ya sasa ya Kidigitali na Citizen Journalism sidhani kama inaendekana sana na habari enzi za Morse Code na kutuma Telegram....

Anyway hii sekta imekuwa hindrance badala ya kuchochea na kuwa chachu, hususan kwa wakati husika...

Na kama ulikuwa muandisha wa habari karne na miongo kadhaa iliyopita (Keyword Ulikuwa) maybe ni wakati wa kuvua ndaruga (na kubakia a Thinktank na Mshauri tu, na sio main player)
 
Back
Top Bottom