Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,036
- 1,286
Habari za usiku wanajamii Forums!
Actually Mimi ni mwanafunzi kwenye Field hizi za science kuna kitu Kinaniumiza Moyo Kuwa watu wengi Hawajui kuhusu Ukimwi.
Wengi wanazani Mtu Anapata ukimwi Pale ambapo Akimchubua Muathirika Wakati Anafanya naye Mapenzi, kihivi wengi wanaamini mtu akifanya mapenzi na Muathirika wa ukimwi Taratibu Bila Kuingiza kwa nguvu (bila msuguano mkali)Basi hawez kupata ukimwi .SIO UKWELI
Jamani Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye ute ute wa mwanamke(Vaginal fluids) kwa maana hyo Mwanaume akifanya mapenzi na mwanamke ambaye Ameathirika huo ute ute unapita Kwnye Mfereji wa mwanaume (male urethra) unaingia Then itapelekea na yeye kupata Ukimwi hata kama hakuna mchubuko Wowote.Hii kitu Watu wanachukulia poa sana.
Sio kwamba hukifanya polepole bila kumchubua ndo Hutapata ukimwi ni kwamba uliefanya naye hakuwa na Ukimwi.
Kama anaukimwi na ni ukweli hujapata baada ya kupima its Happens japo mara chache sana vipokezi (receptors )za ukimwi ziitwazo CCR5 zimepata mabadiliko (mutation) hivyo zinashindwa kusababisha ugonjwa ambapo hata ufanye mapenzi Na watu kumi wenye maradhi kwa pamoja Huwezi Kupata ukimwi, na watu ambao mabadiliko hayo uwapata ni asilimia kidogo ya watu kwa dunia nzima.
KUWA MAKINI UKIMWI NI MBAYA !!PITA WODI ZA WAGONJWA WA UKIMWI UTAELEWA. CHEZA SALAMA. USE PROTECTIONS
Maestro de Quimica !!OP
View attachment 2162314