Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

Mimi sio Daktari Mtarajiwa ,mfamasia .
Daah! nimesikitika kiasi

Mbona wafamasia wapogo nondo, wafamasia ni watu wa mashule hatarihatari... ma utendajikazi [MOA], ma umbo SAR [Structure Activity Relationship, siyo Semi Automatic Riffle wewe🤦‍♂️😂😂] na data nzitonzito.

Jitahidi siku nyingine ukijitambulisha kwa profesheni uwe umeitendea kazi kwelikweli hiyo mada husika.
 
Ukimwi ni upungufu WA kinga mwilini ,


Naomba uniambie upungufu WA kinga mwilini unaambukizwa vipi kutoka Kwa MTU mmoja kwenda Kwa mwingine

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…