Design Your Idea
Senior Member
- Jun 3, 2024
- 154
- 480
Lengo la kuchumbiana si kutumia muda na mtu wako kuchekacheka naye na mambo 'mengine', bali ni kuelewa kama wanataka wafanye mambo yaleyale maishani kama wewe. Malengo ya kufanana na hata muda mwingine hulka za kufanana.
La sivyo, unapoteza muda tu na hiyo harusi yenu mnayochangisha watu laki moja moja!
La sivyo, unapoteza muda tu na hiyo harusi yenu mnayochangisha watu laki moja moja!