Daniel Mwinula
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 302
- 328
Tz 1 Sm 0Matokeo yakoje huyo?
Ndiyo hao hao.Si ndio wale walicheza na yanga wakamaliza 1-1
na kocha wa Azam pia.Engineer hersi, wallace karia, aden rage na hussein bashe wanaitakia somalia ushindi
Somalia hawana ubora wowote, ni kina Kibu tu hawakua makini.Nipo hapa naangalia mechi ya CHAN kati ya Taifa Stars na Somalia, nadhani watu wengi tuliwa-underrate Somalia.
Jamaa wanaupiga mwingi sana tu. Ni kama tuliona hawa jamaa tutapiga pasi mbili goli!
Ngoja tuendelee.