Daniel Mwinula
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 302
- 328
Nipo hapa naangalia mechi ya CHAN kati ya Taifa Stars na Somalia, nadhani watu wengi tuliwa-underrate Somalia.
Jamaa wanaupiga mwingi sana tu. Ni kama tuliona hawa jamaa tutapiga pasi mbili goli!
Ngoja tuendelee.
Jamaa wanaupiga mwingi sana tu. Ni kama tuliona hawa jamaa tutapiga pasi mbili goli!
Ngoja tuendelee.