Watu wengi sana hawapendi kula kwa mama ntilie Uzi maalum kwa nini uliacha

Watu wengi sana hawapendi kula kwa mama ntilie Uzi maalum kwa nini uliacha

Hata huko hotelini/restaurant mara nyingi mambo hayana tofauti sana....hasa hilo la usafi. Chakula kikibaki hakitupwi......wali uliolala, unageuzwa pilau nk nk. Labda zile hoteli kubwa.
 
Mimi ninachonunuaga ni mihogo ya kukaanga nikiikuta inatolewa jikoni ikiwa ya moto hapo naweza kununua na kula!
 
Tanga nilikula chapati inskunjua kama kurasa za kitabu ma chai ya mdalasini kwa mama ntilie
 
Back
Top Bottom