Watu wengi sana hawapendi kula kwa mama ntilie Uzi maalum kwa nini uliacha

Mama anakanda chapati hapa pembeni kuna mfereji wa maji ya bafuni unapita
Duuu. Halafu angalia kucha za huyo anaekanda chapati, huku anakanda unga huku anawwka mkaa kwenye jiko.
 
Hata huko hotelini/restaurant mara nyingi mambo hayana tofauti sana....hasa hilo la usafi. Chakula kikibaki hakitupwi......wali uliolala, unageuzwa pilau nk nk. Labda zile hoteli kubwa.
 
Mimi ninachonunuaga ni mihogo ya kukaanga nikiikuta inatolewa jikoni ikiwa ya moto hapo naweza kununua na kula!
 
Tanga nilikula chapati inskunjua kama kurasa za kitabu ma chai ya mdalasini kwa mama ntilie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…