mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 458
Ndiyo ukweli huo watu wengi wa kutoka kanda ya ziwa hawajui kusoma hata kuandika kwao ni shida sana. Aisee sijui wana shida gani hawa yaani wasukuma kwao elimu sio kipaumbele kabisa yaani kuna idadi kubwa ya watu kutotaka kusoma kabisa jambo linapelekea familia nyingi kubakia kwenye umasikini.