Watu wengi wanaamini mimi ni Genius Lakini Mimi Sioni Hilo!

Watu wengi wanaamini mimi ni Genius Lakini Mimi Sioni Hilo!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Nilisoma Shule (Ya Msingi) ambayo Mama alisoma na waalimu wa Pale waliokuwa wanamjua mama wakadai Umerithi Akili za Mama yako, wakaenda mbali kwamba Mom was a Genius hakuwahi shika Namba tatu alifeli sana akashika namba mbili na it was once!

Aah kwa kuwa nilikuwa mtoto wala sikujali sana kuhusu ilo, ila nnachokumbuka ni kwamba i learned everything fast.

Sikumbuki lini nimejua kusoma ila nakumbuka hata before darasa la kwanza nilikuwa najua mathematics.

Hio hali ikaendelea Mpaka O level, A level na Maisha yangu ya kawaida mtaani popote pale ntapoishi! they consider me as a genius!

mpaka kwenye mazungumzo nikizungumza na mtu finaly nasikia kwa washakji au marafiki zake kwamba the guy is genius lakini mimi sitambui hilo!

sasa wanainteleijensia nisaidieni how can i feel it if i am genius?
 
Utatambuliwa kwa matendo yako na wanao kuzunguka ndio wataleta sifa zako huku kuwa tuna jiniasi huku sio wewe mwenyewe hatuna kipimo huku mkuu wanakupima wa karibu yako
 
Hivi ni vyuma kukaza au ni hali ya hewa maana hata sielewi huku Dr shika Mara nabii tito Mara the mason
 
Hebu pitia kwa Teacher Deo atakufumbulia fumbo hili.Ikishindikana muone Dr.Shika hata kama kuna tatizo atatibu;na ikishindikana kabisa mtembelee "Nabii"Tito kwa ushauri zaidi
ahahahahahaaa comment nzuri
 
Wewe ni **** unaingia kwenye kundi LA majuha wenzio akina magu ,bashite ,kigwangala,mwigullu,

Msalimie Mwl wako wa mwandiko
Mkuu mbona povu
 
Hebu pitia kwa Teacher Deo atakufumbulia fumbo hili.Ikishindikana muone Dr.Shika hata kama kuna tatizo atatibu;na ikishindikana kabisa mtembelee "Nabii"Tito kwa ushauri zaidi
Kama kweli ni genius nenda kamshauri chizonje akikuelewa tutakuamini
 
huyo mama yako genius alifika wapi? na wewe umefikia hatua gani katika uvumbuzi ili tujue kweli genius? Usikutye mama aliishia kuwa Mwl wa Grade A.
 
, ila nnachokumbuka ni kwamba i learned everything fast.

Sikumbuki lini nimejua kusoma ila nakumbuka hata before darasa la kwanza nilikuwa najua mathematics.

sasa wanainteleijensia nisaidieni how can i feel it if i am genius?
Naomba unitajie shule uliyosoma O level, A level, chuo ulichosoma pamoja na grade zako za ufaulu ili nijue kama kweli wewe ni genious au lah!
 
Back
Top Bottom