Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Nilisoma Shule (Ya Msingi) ambayo Mama alisoma na waalimu wa Pale waliokuwa wanamjua mama wakadai Umerithi Akili za Mama yako, wakaenda mbali kwamba Mom was a Genius hakuwahi shika Namba tatu alifeli sana akashika namba mbili na it was once!
Aah kwa kuwa nilikuwa mtoto wala sikujali sana kuhusu ilo, ila nnachokumbuka ni kwamba i learned everything fast.
Sikumbuki lini nimejua kusoma ila nakumbuka hata before darasa la kwanza nilikuwa najua mathematics.
Hio hali ikaendelea Mpaka O level, A level na Maisha yangu ya kawaida mtaani popote pale ntapoishi! they consider me as a genius!
mpaka kwenye mazungumzo nikizungumza na mtu finaly nasikia kwa washakji au marafiki zake kwamba the guy is genius lakini mimi sitambui hilo!
sasa wanainteleijensia nisaidieni how can i feel it if i am genius?