Watu wengi wanaamini mimi ni Genius Lakini Mimi Sioni Hilo!

Nilisoma Shule (Ya Msingi) ambayo Mama alisoma na waalimu wa Pale waliokuwa wanamjua mama wakadai Umerithi Akili za Mama yako, wakaenda mbali kwamba Mom was a Genius hakuwahi shika Namba tatu alifeli sana akashika namba mbili na it was once!

Aah kwa kuwa nilikuwa mtoto wala sikujali sana kuhusu ilo, ila nnachokumbuka ni kwamba i learned everything fast.

Sikumbuki lini nimejua kusoma ila nakumbuka hata before darasa la kwanza nilikuwa najua mathematics.

Hio hali ikaendelea Mpaka O level, A level na Maisha yangu ya kawaida mtaani popote pale ntapoishi! they consider me as a genius!

mpaka kwenye mazungumzo nikizungumza na mtu finaly nasikia kwa washakji au marafiki zake kwamba the guy is genius lakini mimi sitambui hilo!

sasa wanainteleijensia nisaidieni how can i feel it if i am genius?

Hili ndilo tatizo kubwa sana la Wasomi wa Kiafrika wanadhani kwamba Kipimo pekee cha Mtu kuwa ' Genius ' ni Kufaulu Kwake tu Shuleni hadi Chuo Kikuu wakati kumbe ' Ujiniasi ' ni zaidi ya hapo na kuna ' factors ' kadhaa ambazo zote kwa ujumla ukizijumuisha ndipo sasa unaweza kusema kwamba fulani ni ' Genius '. By the way kwa ninavyojua na hata ' Literatures ' mbalimbali zinasema kwamba duniani kote ' Kizazi ' kabisa cha Watu very ' Genius ' kilimalizika ama mwishoni mwa Karne ya 18 au ya mapema kabisa ya 19 ila kwa miaka ya karibuni / sasa hakuna ' Genius ' bali tunadanganyana tu ili tuweze Kushiba ' Miugali ' tuliyokula tusogeze Siku na maisha yaende.
 
Huyu ni muumini wa nabii tito msihangaike sana kumjadili ataibuka na jingine wote mtabaki midomo wazi.
 
Hili ndilo tatizo kubwa sana la Wasomi wa Kiafrika wanadhani kwamba Kipimo pekee cha Mtu kuwa ' Genius ' ni Kufaulu Kwake tu Shuleni hadi Chuo Kikuu wakati kumbe ' Ujiniasi ' ni zaidi ya hapo na kuna ' factors ' kadhaa ambazo zote kwa ujumla ukizijumuisha ndipo sasa unaweza kusema kwamba fulani ni ' Genius '. By the way kwa ninavyojua na hata ' Literatures ' mbalimbali zinasema kwamba duniani kote ' Kizazi ' kabisa cha Watu very ' Genius ' kilimalizika ama mwishoni mwa Karne ya 18 au ya mapema kabisa ya 19 ila kwa miaka ya karibuni / sasa hakuna ' Genius ' bali tunadanganyana tu ili tuweze Kushiba ' Miugali ' tuliyokula tusogeze Siku na maisha yaende.
nipe shule boss
 
wanakwambia una ugenius wa nn ?? kuna ugenius wa kufaulu test darasani,kuna wa kuimba,kuna wa kuigiza,kuna wa kutapeli watu n.k
je wako ni upi??
 
Nilisoma Shule (Ya Msingi) ambayo Mama alisoma na waalimu wa Pale waliokuwa wanamjua mama wakadai Umerithi Akili za Mama yako, wakaenda mbali kwamba Mom was a Genius hakuwahi shika Namba tatu alifeli sana akashika namba mbili na it was once!

Aah kwa kuwa nilikuwa mtoto wala sikujali sana kuhusu ilo, ila nnachokumbuka ni kwamba i learned everything fast.

Sikumbuki lini nimejua kusoma ila nakumbuka hata before darasa la kwanza nilikuwa najua mathematics.

Hio hali ikaendelea Mpaka O level, A level na Maisha yangu ya kawaida mtaani popote pale ntapoishi! they consider me as a genius!

mpaka kwenye mazungumzo nikizungumza na mtu finaly nasikia kwa washakji au marafiki zake kwamba the guy is genius lakini mimi sitambui hilo!

sasa wanainteleijensia nisaidieni how can i feel it if i am genius?

Mason

Ushajiunga na chama chochote cha savants/geniuses hapa duniani?Chochote,aidha Psi,Sigma,Heliq,Zen,Tripple9,etc societies?Kama una uanachama wowote ule tunaomba walao u-scan kidhibitisho utuwekee hapa.

Au,tusiendee mbali sana,ulishawahi kufanya any official/unofficial IQ test?Tuwekee majibu hapa.

Au tuwekee matokeo yako ya kidato cha 4 au cha 5 tu hapa,halafu basi!

Kinyume na hapo,the way unavyoandika,na kupangilia mawazo yako kwende mabandiko yako,nachelea kusema wewe sio genius,hao waliokua wanakuita genius walikua wanakuchora tu!
 
Ndugu kuongoza darasani haimaanishi wewe Genius, inategemea ni watu gani uliosoma nao darasani. Kwanza kila kitu ulichokuwa unakisoma ulikuwa unakiona sawa? Kwa nini hukuwa Critique kwa baadhi ya mada ambazo ulikuwa unafundishwa? Ina maana hukuona dosari yoyote wewe ukawa anameza tu. Haya sasa tunapenda kujua umeleta mageuzi gani katika eneo lako la ujuzi, limenufaisha jamii au taifa? Kama hizo sifa huna basi wewe endelea kukalili kwamba ni Genius CC.Mark Zuckerberg, Maxence Melo
 
If you think you may be a genius, then you almost certainly are not one.
 
Mason

Ushajiunga na chama chochote cha savants/geniuses hapa duniani?Chochote,aidha Psi,Sigma,Heliq,Zen,Tripple9,etc societies?Kama una uanachama wowote ule tunaomba walao u-scan kidhibitisho utuwekee hapa.

Au,tusiendee mbali sana,ulishawahi kufanya any official/unofficial IQ test?Tuwekee majibu hapa.

Au tuwekee matokeo yako ya kidato cha 4 au cha 5 tu hapa,halafu basi!

Kinyume na hapo,the way unavyoandika,na kupangilia mawazo yako kwende mabandiko yako,nachelea kusema wewe sio genius,hao waliokua wanakuita genius walikua wanakuchora tu!
ahahahaa kwako wewe genius ni yupi
 
Nahisi u genius wako unahusiana na username yako na profile picture yako ndo maana huelewi kama wewe ni genius au sio..
 
Back
Top Bottom