Watu wengi wanakula ila hawalimi.

Ngoja nkirudi nilime tena
πŸ˜„ huko

Ova
 
πŸ˜€ hakuna alipo semwa mtu mkuu ni mtazamo wako tu.

Unaweza ukalima huku ukichezea laptop yako ofisini naona kama haujaelewa mada.

Umeshindwa kutetea faida za kilimo bira kudogosha harakati za utafutaji za watu wengine.
 
Umeshindwa kutetea faida za kilimo bira kudogosha harakati za utafutaji za watu wengine.
Nimeelezea kwa namna yakawaida sana Mkuu sijui kwanini haujaelewa point ila umeona kudogoshwa tu.

Labda aje mtu mwingine tofauti na mimi anaweza kukuelewesha ukamwelewa point yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…