Watu wengi wanasema "Mchele wa Mama" ni mbaya na unalenga kuua soko la mchele wa ndani

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Mliwahi kula huu mchele?

Wanawake wengi wanasema mchele huu ni mbaya.

Pia wanalalamika serikali kushindwa kuzuia mchele wetu mzuri na kuagiza mchele ule wa nje mbaya.

Binafsi siwezi pingana na wapikaji mchele huu sio mzuri.

Pia wanalalamika kuwa mchele huu unauzwa bei rahisi ili kuuwa soko la mchele wa ndani ambao ni bora zaidi.
 
Nilime mpunga wangu kwa jasho langu nikisha vuna heti nipangiwe sehemu ya kuuzia akili mbaya sana za Magufuli mbona semeti nondo juisi vinauzwa nje mbona amlalamiki unataka mchele mzuli nunua mpungu wakati wa mavuno au nenda marubani ukaone raha yake
 
Mliwahi kula huu mchele?

Wanawake wengi wanasema mchele huu ni mbaya.

Pia wanalalamika serikali kushindwa kuzuia mchele wetu mzuri na kuagiza mchele ule wa nje mbaya.

Binafsi siwezi pingana na wapikaji mchele huu sio mzuri.

Pia wanalalamika kuwa mchele huu unauzwa bei rahisi ili kuuwa soko la mchele wa ndani ambao ni bora zaidi.
Kuna vitu hii Nchi huwa vinaletwa kwa ajili ya watu wa hali ya chini., Thailand na kitumbo siyo mchele wa kula watu, wenye pesa zao hawezi kwenda kununua huo mchele. Ila watu wa hali ya kawaida wanaletewa kwa kuwa hawana uwezo wa kununua mchele mzuri wa ndani ya Nchi.
Halafu wafanyabiashara ni wajanja sana, unakuta wanauchanganya mchele wa ndani na ule wa nje ya Nchi kisha wanaufanyia manyuva, mlaji akienda kununua anauona uko pouwa sana, akishaenda kupika hapo ndio atagundua kabla hata hajauweka kinywani.
All in all, tuombe tu huo mchele usiwe na Madhara.
 
Back
Top Bottom