Watu wengi wanasema "Mchele wa Mama" ni mbaya na unalenga kuua soko la mchele wa ndani

Watu wengi wanasema "Mchele wa Mama" ni mbaya na unalenga kuua soko la mchele wa ndani

Mi naona wazuie mchele wa ndani usiuzwe nje. Uzalishwe kwa wingi na bei ishuke..

Bila hivyo.. basi mchele wa nje uletwe.. na bei ishushwe..
 
Jamani mnalalamika bei za nafaka kuwa juu nawataarifu kuwa sisi wakulima tunalia saivi Hali ya hewa imetuathiri sana binafsi mpunga wangu ekari 9 na mahindi 13 vimeungua mkoani Morogoro kwahyo na sisi tunapitia changamoto
Pole
 
Binadamu hawana shukrani. Mnalalamika bei kubwa, mmeletewa wa bei nafuu, unalalamikia ladha. Soko la mchele liko wazi. Mchele wetu inauzwa nje ya nchi. Wakulima wanafaidika. Anayetaka wenye ladha upo anunue tu kwa bei ya soko. Sisi tutakula huonwa bei nafuu na ugali wa dona, maana kanda ya ziwa huku hakuna kukoboa mahindi.
Acheni kudeka.
 
Mliwahi kula huu mchele?

Wanawake wengi wanasema mchele huu ni mbaya.

Pia wanalalamika serikali kushindwa kuzuia mchele wetu mzuri na kuagiza mchele ule wa nje mbaya.

Binafsi siwezi pingana na wapikaji mchele huu sio mzuri.

Pia wanalalamika kuwa mchele huu unauzwa bei rahisi ili kuuwa soko la mchele wa ndani ambao ni bora zaidi.
Ni kweli kabisa mm mwenyewe niliukuta kwa mangi, tena bei mteremko shughuli ilikuwa kwenye kuupika
 
Changamoto ya kupanda kwa bei ya nafaka ni matokeo ya vua chache msimu uliopita kwa hiyo serikali inacho fanya ni kupunguza ukali wa wa maisha kwa kuagiza mchele nje ya nchi na jambo hili si Tanzania pekee ,hata nchi jirani zina experience hali hiyo hiyo tuombe Mungu msimu huu mavuno yawe mazuri tutanunua mchele super kwa bei nzuri kutoka Tanzania.
 
Nani aliutaka mchele mbaya vile
Sasa simlilalamika kuwa mchele wa ndani ni ghari na ndio maana mkaletewa mchele wa bei rahisi sasa mnacho lalamika nn?

Ww kama unaona mchele wa mama ni mbaya basi nenda kanunue mchele wa ndani ambao ni mzuri kwa bei wanayo itaka kizuri kina gharama.
 
Siku zote nakula mchele wa bei kilio ni kwa hawa wenye kipato kisichoweza kumudu
 
mcheke ni mbaya, ni ule VIP haina ladha,unauzwa 2400-2500, ni bora wangeleta KITUMBO
 
Haya ni matokeo ya kufungulia kiholela mazao ya nafaka muhimu kwenda nje sababu wanapata maslahi binafsi kwenye hilo huku wakisingizia kuwanufaisha wakulima, mwisho wa siku mnakuja kuwaletea wananchi mchele wa hovyo usio na lishe wala ladha ya kueleweka, styupidi...
 
niliwahi kusem humu kuwa mchele wa THAILAND ndo umeshamiri sana na hauna ladha mbayaa kinoma
Kabisaa afu hauiviii, ukizidisha maji kidg unakua boko boko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mliwahi kula huu mchele?

Wanawake wengi wanasema mchele huu ni mbaya.

Pia wanalalamika serikali kushindwa kuzuia mchele wetu mzuri na kuagiza mchele ule wa nje mbaya.

Binafsi siwezi pingana na wapikaji mchele huu sio mzuri.

Pia wanalalamika kuwa mchele huu unauzwa bei rahisi ili kuuwa soko la mchele wa ndani ambao ni bora zaidi.
Sasa ndugu yangu,waulize hao wanawake,selikali ingezuia vipi kitu alichojilimia mtu kwa nguvu zake?

Waambie mambo ya kumfanya mkulima kama mfanyakazi wao yamepitwa na wakati,wakitaka wawaambie waume zao nao wakalime mpunga
 
Mi naona wazuie mchele wa ndani usiuzwe nje. Uzalishwe kwa wingi na bei ishuke..

Bila hivyo.. basi mchele wa nje uletwe.. na bei ishushwe..
Unaonaje ukaingia wewe shamba kuzalisha na kisha uzuiwe ili walaji wapate nafuu?.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ndugu yangu,waulize hao wanawake,selikali ingezuia vipi kitu alichojilimia mtu kwa nguvu zake?

Waambie mambo ya kumfanya mkulima kama mfanyakazi wao yamepitwa na wakati,wakitaka wawaambie waume zao nao wakalime mpunga
Unapiga sana kwenye mishono mkuu!Dah!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom