Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
UlanguziHivi mchele umefikaje elfu nne wakati tunalima humu humu Tanzania? Wakulima mtusaidie
2000 kama sikoseiKwani mama wa mchele mzigo wake upo sokoni na bei vip Ni kiasi gani
Ni Mbaya sanaBei yake n rahisi na ni mbayaa....
Watanzania hawajuagi kibaya wanaangaliaa bei rahisi ....
Maishà yenyewe yakujua kizuri na kibaya Yako wapiii mkuuu..
Nani aliutaka mchele mbaya vileSimlitaka wa bei rahisi mmeletewa na penyewe mnalalamika?
Wanaolalamika ni wendawazimu.
Hawana sababu zenye mashiko
Nchii leo nimetazama vilamu ya loyaltour2400 lakini
Nilime mpunga wangu kwa jasho langu nikisha vuna heti nipangiwe sehemu ya kuuzia akili mbaya sana za Magufuli mbona semeti nondo juisi vinauzwa nje mbona amlalamiki unataka mchele mzuli nunua mpungu wakati wa mavuno au nenda marubani ukaone raha yakeMliwahi kula huu mchele?
Wanawake wengi wanasema mchele huu ni mbaya.
Pia wanalalamika serikali kushindwa kuzuia mchele wetu mzuri na kuagiza mchele ule wa nje mbaya.
Binafsi siwezi pingana na wapikaji mchele huu sio mzuri.
Pia wanalalamika kuwa mchele huu unauzwa bei rahisi ili kuuwa soko la mchele wa ndani ambao ni bora zaidi.
Mbona mm sijaona?2000 kama sikosei
Unanendaga madukani au unjilimia mwenyewe msosiMbona mm sijaona?
Unajua demand and supply? Hilo ndio jibuHivi mchele umefikaje elfu nne wakati tunalima humu humu Tanzania? Wakulima mtusaidie
Kuna vitu hii Nchi huwa vinaletwa kwa ajili ya watu wa hali ya chini., Thailand na kitumbo siyo mchele wa kula watu, wenye pesa zao hawezi kwenda kununua huo mchele. Ila watu wa hali ya kawaida wanaletewa kwa kuwa hawana uwezo wa kununua mchele mzuri wa ndani ya Nchi.Mliwahi kula huu mchele?
Wanawake wengi wanasema mchele huu ni mbaya.
Pia wanalalamika serikali kushindwa kuzuia mchele wetu mzuri na kuagiza mchele ule wa nje mbaya.
Binafsi siwezi pingana na wapikaji mchele huu sio mzuri.
Pia wanalalamika kuwa mchele huu unauzwa bei rahisi ili kuuwa soko la mchele wa ndani ambao ni bora zaidi.