Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 409
- 598
PoleJamani mnalalamika bei za nafaka kuwa juu nawataarifu kuwa sisi wakulima tunalia saivi Hali ya hewa imetuathiri sana binafsi mpunga wangu ekari 9 na mahindi 13 vimeungua mkoani Morogoro kwahyo na sisi tunapitia changamoto
Mchele umeletwa ila hauliki mbayaMi naona wazuie mchele wa ndani usiuzwe nje. Uzalishwe kwa wingi na bei ishuke..
Bila hivyo.. basi mchele wa nje uletwe.. na bei ishushwe..
Ni kweli kabisa mm mwenyewe niliukuta kwa mangi, tena bei mteremko shughuli ilikuwa kwenye kuupikaMliwahi kula huu mchele?
Wanawake wengi wanasema mchele huu ni mbaya.
Pia wanalalamika serikali kushindwa kuzuia mchele wetu mzuri na kuagiza mchele ule wa nje mbaya.
Binafsi siwezi pingana na wapikaji mchele huu sio mzuri.
Pia wanalalamika kuwa mchele huu unauzwa bei rahisi ili kuuwa soko la mchele wa ndani ambao ni bora zaidi.
Sasa simlilalamika kuwa mchele wa ndani ni ghari na ndio maana mkaletewa mchele wa bei rahisi sasa mnacho lalamika nn?Nani aliutaka mchele mbaya vile
Siku zote nakula mchele wa bei kilio ni kwa hawa wenye kipato kisichoweza kumuduSasa simlilalamika kuwa mchele wa ndani ni ghari na ndio maana mkaletewa mchele wa bei rahisi sasa mnacho lalamika nn?
Ww kama unaona mchele wa mama ni mbaya basi nenda kanunue mchele wa ndani ambao ni mzuri kwa bei wanayo itaka kizuri kina gharama.
Kabisaa afu hauiviii, ukizidisha maji kidg unakua boko boko.niliwahi kusem humu kuwa mchele wa THAILAND ndo umeshamiri sana na hauna ladha mbayaa kinoma
Sasa ndugu yangu,waulize hao wanawake,selikali ingezuia vipi kitu alichojilimia mtu kwa nguvu zake?Mliwahi kula huu mchele?
Wanawake wengi wanasema mchele huu ni mbaya.
Pia wanalalamika serikali kushindwa kuzuia mchele wetu mzuri na kuagiza mchele ule wa nje mbaya.
Binafsi siwezi pingana na wapikaji mchele huu sio mzuri.
Pia wanalalamika kuwa mchele huu unauzwa bei rahisi ili kuuwa soko la mchele wa ndani ambao ni bora zaidi.
Unaonaje ukaingia wewe shamba kuzalisha na kisha uzuiwe ili walaji wapate nafuu?.[emoji23][emoji23][emoji23]Mi naona wazuie mchele wa ndani usiuzwe nje. Uzalishwe kwa wingi na bei ishuke..
Bila hivyo.. basi mchele wa nje uletwe.. na bei ishushwe..
Wao watakula ugali,ndiyo maisha yao hayo.Siku zote nakula mchele wa bei kilio ni kwa hawa wenye kipato kisichoweza kumudu
Unapiga sana kwenye mishono mkuu!Dah!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ndugu yangu,waulize hao wanawake,selikali ingezuia vipi kitu alichojilimia mtu kwa nguvu zake?
Waambie mambo ya kumfanya mkulima kama mfanyakazi wao yamepitwa na wakati,wakitaka wawaambie waume zao nao wakalime mpunga