Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Binadamu ambao wanateseka ukifatilia Kwa makini ni unplanned human being. Hawakupanga kuzaliwa ni zao la uzinzi na wengine one night stand.
Ukitaka kupata mtoto huwa kuna sauti inakuijia inakuambia kabisa kuwa huu ndo muda wako wa kuwa na mtoto. Maaana viumbe huwa vinawasiliana kupitia inner voice.Na mtoto ndo huwa anamchagua mzazi na sio mzazi kumchagua mtoto.
Hivyo ukiona hauelewi mambo kaa na wataalamu wakuelekeze mambo.