Watu wengi wanoteseka wamezaliwa kwa bahati Mbaya, ni zao la uzinzi na wengine one night stand

Watu wengi wanoteseka wamezaliwa kwa bahati Mbaya, ni zao la uzinzi na wengine one night stand

Yeah ni kweli.

Watu makini na wanao think ahead of time, Hawawezi kuzaa tu hovyohovyo bila plan na future ya watoto wao.

Wazazi makini wanaelewa kwamba watoto ni gharama na wanahitaji future iliyobora kutoka kwao. Hivyo hawazai hovyo hovyo.

Hawa maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi ndio wanazaliana kama mapanya na kuleta watoto duniani kuja kuteseka.

Ukiona unateseka jua kwamba kuna sehemu wazazi wako walifanya uzembe.
 
Hakuna kitu cha bahati mbaya

kila mtu kaletwa hapa duniani kwa mission maalum either iwe nzuri au mbaya
Angalia mzani wa good and evil,positive and negative,rich ana poor and so on..ni kwa ajili ya ku balance mzani!
 
Binadamu ambao wanateseka ukifatilia Kwa makini ni unplanned human being. Hawakupanga kuzaliwa ni zao la uzinzi na wengine one night stand.

Una uhakika wazazi wako waliplan uzaliwe? Na We umefanikiwa kiasi gani, hadi uhukumu viumbe wa Mungu Elon?
 
Wapo.

Mabinti wa sekondari wanaopata mimba hovyo hovyo na kuzaa watoto.

Huleta watoto hao kwa bahati mbaya. Bila plan wala uwezo wowote ule wa kuwalea.

Hiyo ni bahati mbaya tayari.
yaani wanyanduane wanaenda mpaka vitano tena bila kinga, halafu wakipata mimba wanasema bahati mbaya
 
Back
Top Bottom