Dah! mkuu unakosea sana hamna mtu kazaliwa bahati mbayaBinadamu ambao wanateseka ukifatilia Kwa makini ni unplanned human being .
Hawakupanga kuzaliwa ni zao la uzinzi na wengine one night stand .
Ukitaka kupata mtoto huwa kuna sauti inakuijia inakuambia kabisa kuwa huu ndo muda wako wa kuwa na mtoto. Maaana viumbe huwa vinawasiliana kupitia inner voice
Na mtoto ndo huwa anamchagua mzazi na sio mzazi kumchagua mtoto.
Hivyo ukiona hauelewi mambo kaa na wataalamu wakuelekeze mambo .
hakuna mtu unplanned ila watu wanafanya wanayoyafanya sababu ya malezi waliyopitia,matumizi ya pombe/drugs,hulka za mtu, maumivu au kukosewa/PTSD, kuhusu mtu kuwa maskini hilo ni suala lingine sisi sote ni wa MUNGU sote anatumulikia jua na kutunyeshea mvua sote katuweka dunia moja hajaweka dunia ya maskini, waovu,wema na matajiri katuchanganya wote humu GOD IS GOODUnaona kuna mtu mmoja anatimiza purpose yake na mwingine yupo kuharibu purposes za watu.
Watu ambao ni unplanned asilimia kubwa they have nothing to offer in this entity.
Shingo yako unaipa kazi ya bure kwa kubeba kichwa chenye maji ndani yakeBinadamu ambao wanateseka ukifatilia Kwa makini ni unplanned human being. Hawakupanga kuzaliwa ni zao la uzinzi na wengine one night stand.
Ukitaka kupata mtoto huwa kuna sauti inakuijia inakuambia kabisa kuwa huu ndo muda wako wa kuwa na mtoto. Maaana viumbe huwa vinawasiliana kupitia inner voice.Na mtoto ndo huwa anamchagua mzazi na sio mzazi kumchagua mtoto.
Hivyo ukiona hauelewi mambo kaa na wataalamu wakuelekeze mambo.
KabisaJF si salama kwa kijana anaepambana na maisha. Atanyanyasika sana kisaikolojia kutokana na nyuzi za aina hii na aina ya watu kama mtoa mada.
We itakua ni Kubwa jinga?Utoto raha sana
Hakuna mtu aliye au anaezaliwa kwa bahati mbaya, hayo mambo ya bahati mbaya ni mambo ya maongezi baada ya habari ila kwenye ulimwengu wa kiroho kwa sisi tunaoamini hakuna mtu anaezaliwa bahati mbaya.Binadamu ambao wanateseka ukifatilia Kwa makini ni unplanned human being. Hawakupanga kuzaliwa ni zao la uzinzi na wengine one night stand.
Ukitaka kupata mtoto huwa kuna sauti inakuijia inakuambia kabisa kuwa huu ndo muda wako wa kuwa na mtoto. Maaana viumbe huwa vinawasiliana kupitia inner voice.Na mtoto ndo huwa anamchagua mzazi na sio mzazi kumchagua mtoto.
Hivyo ukiona hauelewi mambo kaa na wataalamu wakuelekeze mambo.
Una umri gani?Binadamu ambao wanateseka ukifatilia Kwa makini ni unplanned human being. Hawakupanga kuzaliwa ni zao la uzinzi na wengine one night stand.