Mussa Tendeli
Member
- Jun 9, 2016
- 26
- 12
Mbona kama nawewe ni timu ccm?Hawa watu wanaojiita et mim ni team kingkiba na team diamond au team bell 9.
Mim siwaelewi bwana utawakuta wamekaa kubishana na kurushiana matusi ya ajabu kisa vipaji vya watu vinavyowaingizia wao vpiato na kuwanya wayafurahie maisha yao.
Sasa najiuliza huo ni upumbavu,ujinga,ulimbukeni,au ujanja?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona kama nawewe ni timu ccm?
Haaaaaa kwa evidenci gan?Mbona kama nawewe ni timu ccm?
Goood mkuuuSimple mind hizo mkuu
HaaaaaaMi team kiba wa ukweli ,umseme kiba vibaya nakushika shati