Watu Wengine Mnatusumbua Walinzi Shirikishi

Watu Wengine Mnatusumbua Walinzi Shirikishi

Wild sniper

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
4,399
Reaction score
8,629
Za mchana wandugu
Kutokana na agizo la kamanda kuwa kila mtaa uwe na kikundi cha ulinzi shirikishi, Sisi mtaa wetu umeanzisha hicho kikundi na watu wanajitolea kulinda. Sasa majuzi nilikosa usingizi nikaamua nikasaidie kidogo kulinda, tukiwa lindo bana si ndo ghafla tukakurupushwa na sauti ikisema UNANIUA UNANIUA, ilikua Sauti ya KIKE Basi tukatimua mbio kuelekea hapo mana hapakua mbali na tulipokuepo, Kituko sasa na kioja ni tulipozingira kile chumba yelewii, Sauti ikabadilika tena kutoka unaniua mpaka ASANTE ASANTE. Khaa ikabidi tukae chini kwa mshangao, hivi jamani dada zetu kwa starehe gani mpaka mpige kelele kiasi hicho na kutusumbua tunaowalinda usiku? Nimemaindi kweli yani.
 
Back
Top Bottom