Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Maandamano ya kesho sijui yatakuwa vipi. Kesho atakamatwa Lema na binti yake.
Lakini hili ni jambo serious. Hakuna haki katika nchi. Wananchi tunataka kurekebisha. Kesho yanapaswa kuwepo maandamano ya amani. Maandamano lazima yawe ya amani,siyo kila mtu afanye anavyopenda.
Watu wengine umewasikia wanasema,"Tutaandamana mpaka pale,tutarudi na Lissu." Hiyo ni fujo. Maandamano yafanyike kwa amani.
John Heche lazima awathibiti wafuasi wake. Wote watakaofika kwenye maandamano wamsikilize John Heche.
Sasa Polisi hawaamini kama John Heche anaweza kuhakikisha maandamano yatakuwa ya amani.
And yet,watu wanataka Chadema iamini kwamba viongozi watawanong'oneza kidogo wasimamizi wa Uchaguzi na,kila kitu kitakuwa sawa.
Nia ya kuandamana wanayo, sababu wanayo,lakini hawana uwezo. Bora Heche anyanyue bendera nyeupe aombe amani na Serikali.
Watu wanatabiri;wanajua mambo yatayotokea siku zijazo, and that is a good thing. Lakini zipo njia nyingine za kutabiri,kwa kusikiliza maneno ya watu.
Unamsikia Chalamila anasema hivi,Muliro anasema hivi,Heche hivi. Mpaka hapo huwezi kutabiri jambo gani litatokea kesho asubuhi?
There is nothing to fear except fear. Cast out fear.
Fanya mambo kwa roho safi,nia safi,ondoa woga, and no evil will happen to you.
Watu wafanye mambo bila vurugu.
Lakini kesho Waandamanaji wakisema tukutane Magomeni Mapipa saa mbili asubuhi,Polisi watafika pale saa moja. Hakuna njia yoyote ya kuondoa vurugu ili watu waweze kuifuatilia hii kesi kwa amani?
Halafu ni jambo zuri sana wakati ule Mbowe alikaa jela miezi tisa kwa ajili ya ugaidi halafu akasamehewa na Rais.
Ni jambo zuri sana kwamba Rais alimsamehe Mbowe. Lakini watu wangapi mtaani wanajua Mbowe alifanya ugaidi gani.
Mimi pia nilipaaza sauti yangu kusema Mbowe asamehewe lakini mpaka leo sijui Mbowe alifanya ugaidi gani.
Kwa sababu siyo kama wale Masheikh wa Uamsho. Wale inasemekana walikuwa wana tabia mbaya ya kuwamwagia usoni tindikali watalii Kwa hiyo wale wanafungwa,hakuna mtu anayelalamika .
Mimi sisapoti hao Masheikh kuwekwa ndani. Nasema tu iwapo propaganda yoyote inafanikiwa na wananchi wameshaelezwa jambo fulani na apparently wameelewa,basi unaweza kufanya kitu chochote.
No,mimi siungi mkono Masheikh wa Uamsho kuwekwa ndani .
Halafu sasa hivi kuna tatizo kuhusu hao Masheikh wa Uamsho,kwa sababu wale waliokuwa wanawatetea wanakuwa distracted,wanaishi maisha ya utukufu somewhat na wanawasahau wenzao ambao wako jela..
Naona misunderstanding of religious people ndio maana hawa Masheikh wako jela mpaka Leo.
Ni uamuzi wa vijana. Wao waamue jambo la kufanya. Kijana ukiingia pale mtaani,hakuna mtu anaweza kukufukuza akupate.
Mi nilikuwa nafanya sana rioting zamani. Tumefanya fujo siku ile na Mtikila,kesho yake Mrema akac haguliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu. Lakini nadhani amani ndio jambo zuri zaidi.
Kwa umri wangu mimi siwezi kuhuburi vita.
Kwa hiyo,ndio mawazo yangu.
Look to The Leader.
Mambo yote yanayofanyika lazima uwepo nidhamu.