Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 97
- 72
Yatupasa Sasa
Ili kuisaidia nchi ni lazima.kwanza kuhakikisha
Machawa
Wanafedheheka
Wakomeshwa utopokwaji bila kutumia akili .
Tukifaulu hapa
Wale Wajanja wajifichao
Wenye kuwatanguliza Machawa mbele na watatoweka .
Kisha tunasimamia Sasa Good Governance.
Kwa Hali hii tutakuwa msaada kwa Viongozi wetu wakuu wa Kitaifa ambao wamekuwa wskitoa matamko na maelekezo ila yanakjmbana na ushabiki wa Machawa wenye changamoto ya uelewa wa kutafsiri kauli za Viongozi wakuu na hivyo kuendelea kuipogosha Jamii ya Kitanzania ilizama kwenye mipira kindaki ndaki ikasahau Mambo ya msingi Kama vile ilani katiba Kanuni miongozo na taratibu
Na wanjanja wanufaikao na ujinga huu kujifanya wamejizima data kuhusu wajibu wao kwa mujibu wa katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 15 (3)(4)(6)(7)
Ilani ya CCM 2020 uk 01 ibara 04 na uk 08 ibara 10 na 11