Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Wahenga waliwahi kusema kuwa watu maskini wa fikra, mali na akili hujadili watu kwa mfano mzuri viongozi wa Chadema inadhihirisha kuwa ni watu wenye akili ndogo Sana utakuta mkutano una masaa 4 lakini kila kiongozi anayesimama anamjadili Magufuli mara Samia.
Utashangaa masaa 3 yote yanaisha kutukana, kusimanga na kulaumu hawana ideas ama strategies za kuelezea wataifanyia nini Tanzania hawa wanaitwa Narrow minded people kwa sababu wana ufinyu wa fikra na hawatufai kuwa viongozi.
Viongozi Aina ya Magufuli na Trump ni watu wenye akili nyingi sana hujadili mawazo mapana ya nchi kwenye dira ya miaka 100 ijayo.
Ukimuona Mbowe au Lissu anamtukana Sana Magufuli siyo wao they have crippled mindset, ni watu wenye ubongo mdogo ni narrow minded people.