Kama mbowe.Macho kumchuzi ndo mini mkuu
hapa unahusika braza kaka-Watu wafupi
-macho kumchuzi
-wenye kigugumizi
-wenye mabusha
Nb.hiki ni kizalia hawakupenda kuwa hivyo....usiwacheke kuwabeza wala kuwadhihaki.HUJAFA HUJAUMBIKA...!!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ninahasiraaaa! Naanza kujenga kachumba kanguAnaedaiwa kodi
Na walio tumbuliwa.Wenye majipu....
hao ndo wanaongoza kuwa na hasira.Wenye UKIMWI
wazamani siku hizi akhaaaaaaaaaaaaaahao ndo wanaongoza kuwa na hasira.
wakianza kuporomosha maneno ya hovyo humu ...... wengi ni wale wa 7000Hawa ndio wengi hasa hata humu tunao
Kati ya watu wanaoongea kwa upole na great thinkers ni Mbowe. Msikilize bungeni akiongea mlinganishe na Lusinde nani anatoa povu? Labda Kova.Kama mbowe.
mi nampenda mbowe huwa anazungumza tartiibu si km kinaKati ya watu wanaoongea kwa upole na great thinkers ni Mbowe. Msikilize bungeni akiongea mlinganishe na Lusinde nani anatoa povu? Labda Kova.
-Wazanzibar na Wengine wanopenda democrasia ya kweli (Today Update)-Watu wafupi
-macho kumchuzi
-wenye kigugumizi
-wenye mabusha
Nb.hiki ni kizalia hawakupenda kuwa hivyo....usiwacheke kuwabeza wala kuwadhihaki.HUJAFA HUJAUMBIKA...!!!