Watu wenye hasira zaidi duniani

Watu wenye hasira zaidi duniani

Kati ya watu wanaoongea kwa upole na great thinkers ni Mbowe. Msikilize bungeni akiongea mlinganishe na Lusinde nani anatoa povu? Labda Kova.
mi nampenda mbowe huwa anazungumza tartiibu si km kina
IMG-20151027-WA0042.jpg
 
Watu wafupi kwa urefu gani maana mimi nina futi 6 lakini nina hasira kali sana.
 
Ila jamani watu wafupi ni shida hasa wanaume ni kweli huwa na Hasira, watu wafupi huwa na sifa na hali ya kujionyesha, Nadhani ile hali ya ufupi huwa fanya kukkosa ujasiri na kutanguliza hasira au kiherehere waonekane kama na wao wapo, Hasira na sifa ni kama silaha kwao katika kujiwakilisha kuwa wapo lol.
 
-Watu wafupi
-macho kumchuzi
-wenye kigugumizi
-wenye mabusha
Nb.hiki ni kizalia hawakupenda kuwa hivyo....usiwacheke kuwabeza wala kuwadhihaki.HUJAFA HUJAUMBIKA...!!!
-Wazanzibar na Wengine wanopenda democrasia ya kweli (Today Update)
 
Back
Top Bottom