Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Ungejua kwamba kuna mtu anaweza akakuchukia hata ukicheka tu usingewazingatia wanadamu , kuna watu hawapendi kuona furaha / amani za wengine . Fanya yako walimwengu wamejaa husda
Hhhh unanifurahisha kwani wewe umeelewa nnUmeshajaa kwenye mfumo? Ushawahi kujiuliza kwanini mama aliyechaguliwa kuishi na baba yako baada ya mama yako mzazi kutengana hata uwe mdogo vipi huwa anakukazia vile vile hapo ndiyo utajua hakuna kutia huruma mzee.
Sehemu nyingine zenye mikazo makazini au penye kutafuta riziki.
Hilo lishapitishwa tangu huko kaini mwenyewe alimuua habili sembuse sisi.
"HAINA KUTIA HURUMA"
Ungejua kwamba kuna mtu anaweza akakuchukia hata ukicheka tu usingewazingatia wanadamu , kuna watu hawapendi kuona furaha / amani za wengine . Fanya yako walimwengu wamejaa husda