Watu wenye husda huwa na chuki isiyo na sababu

Umeshajaa kwenye mfumo? Ushawahi kujiuliza kwanini mama aliyechaguliwa kuishi na baba yako baada ya mama yako mzazi kutengana hata uwe mdogo vipi huwa anakukazia vile vile hapo ndiyo utajua hakuna kutia huruma mzee.

Sehemu nyingine zenye mikazo makazini au penye kutafuta riziki.

Hilo lishapitishwa tangu huko kaini mwenyewe alimuua habili sembuse sisi.

"HAINA KUTIA HURUMA"
 
Hhhh unanifurahisha kwani wewe umeelewa nn
 
Ungejua kwamba kuna mtu anaweza akakuchukia hata ukicheka tu usingewazingatia wanadamu , kuna watu hawapendi kuona furaha / amani za wengine . Fanya yako walimwengu wamejaa husda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…