teh teh teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora ingekuwa hivyo
si umtaje tumjue mkuuKuna huyu mwenye id flani hivi ananiumiza kichwa mno... yaani nakuwa kama na fanya mahesabu kwa lugha ya kichina
naamini akiiona hii comment atanielewa..
Haha sasa Mkuu!stroke na jina lako Papushikashi ni nouma
mwenyewe una id ya ajabuKatika miaka 3 niliyojiunga humu JamiiForums nimekutana ID mbalimbali zenye majina mabaya na nyingine hata kuzisoma na kutamka ni kazi.Kama zifuatazo : NYANI MZEE ,jichawi , Bujibuji ,@mzabmzab , @chinchlla coat , nyakandula ,Erythrocyte ,Wervemarcel ,@jacspyro,GENTAMYCINE ,makalio ya kienyeji ,Mzizi wa Mbuyu,MziziMkavu ,Nyani Ngabu,@zeduduz ,@mpigamsuli,@mavimavi ,@ndyoko,kyamafi, @ulukulokwitanga,@kifilio ,Naibili nk wadau mnaweza na nyie mkaongeza kwa kuweka ID mlizokutana nazo humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]stroke na jina lako Papushikashi ni nouma
aaaah Fundi chupiKuna mwngne anajiita fundi chupi!!!