Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Katika miaka 3 niliyojiunga humu JamiiForums nimekutana ID mbalimbali zenye majina mabaya na nyingine hata kuzisoma na kutamka ni kazi.Kama zifuatazo : NYANI MZEE ,jichawi , Bujibuji ,@mzabmzab , @chinchlla coat , nyakandula ,Erythrocyte ,Wervemarcel ,@jacspyro,GENTAMYCINE ,makalio ya kienyeji ,Mzizi wa Mbuyu,MziziMkavu ,Nyani Ngabu,@zeduduz ,@mpigamsuli,@mavimavi ,@ndyoko,kyamafi, @ulukulokwitanga,@kifilio ,Naibili nk wadau mnaweza na nyie mkaongeza kwa kuweka ID mlizokutana nazo humu
mwenyewe una id ya ajabu
 
Back
Top Bottom