Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Yaani wewe unawazaga siasa tu...
Hao ulio wataja ni wapinzani wako kuleeee kwenye jukwaa lenu, na hapa unaonyesha chuki za kisiasa na kiitikadi dhidi yao
Huyo dada atakuwa anawapenda hao ndo maana ameonyesha msisitizo
 
Madame B ni ya kwanza kwa ubaya, kwasababu inamaanisha Madame Bange a.k.a mama wa tigo.
 
yaani wanawake wote humu ndani, rais wao wa tigo ni huyo mwenye Madame B. na anapiga kampeni sana apate wafuasi.
 
yaani wanawake wote humu ndani, rais wao wa tigo ni huyo mwenye Madame B. na anapiga kampeni sana apate wafuasi.
huyo hamfikii lara 1 kubwa la maadui mipango ya kutega mabomu na kuyalipua anayo ila usawa huu wa maghufuri atatia huruma mjini,hela za bata twazifanyia maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…