Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Umenidhalilisha naenda mahakamani na uandae nilini 7!
Salary Slip mbona hujatoa option ya kuomba msamaha? Mbona watu wengi wakichafuliwa huwa cha kwanza mtuhumiwa anaombwa kuomba msamaha then akishindwa hatua za mahakamani zinafuata, je wewe huoni hiyo haja au unatak kukimbilia mahamakani tu ili nikushinde?
 
Hapana,wewe inabidi uende mahabusu kwanza ndio nikufikirie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…