mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 843
- 627
Tehe tehe tehe mambo haya ni mazabe tupuHATA WEWE JINA LAKO JipuKubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehe tehe tehe mambo haya ni mazabe tupuHATA WEWE JINA LAKO JipuKubwa
Salary Slip mbona hujatoa option ya kuomba msamaha? Mbona watu wengi wakichafuliwa huwa cha kwanza mtuhumiwa anaombwa kuomba msamaha then akishindwa hatua za mahakamani zinafuata, je wewe huoni hiyo haja au unatak kukimbilia mahamakani tu ili nikushinde?Umenidhalilisha naenda mahakamani na uandae nilini 7!
Duu kweli wewe hukomiAcha kuropoka wewe. ID mbaya kabisa ni Daudi Mchambuzi, BAK, Mwanahabari Huru, Salary Slip na wengine. Yaani hao na kundi lao ni wafia chama kilichokufa cha chandomo na ni mavuvuzela ya hilo li chama lililokufa
Hapana,wewe inabidi uende mahabusu kwanza ndio nikufikirie.Salary Slip mbona hujatoa option ya kuomba msamaha? Mbona watu wengi wakichafuliwa huwa cha kwanza mtuhumiwa anaombwa kuomba msamaha then akishindwa hatua za mahakamani zinafuata, je wewe huoni hiyo haja au unatak kukimbilia mahamakani tu ili nikushinde?
Sasa huo ni ukatiri. Fikiri mara mbili kabla ya kunipeleka mahakamani maana nikukushinda itakula kwakoHapana,wewe inabidi uende mahabusu kwanza ndio nikufikirie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona yule rafiki yako mpinzani yule kwenye ubishi kule hujamtaja au una muogopa[emoji1] [emoji1] maana yake nimeirudia thread mara 2 mbili sijaliona
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna huyu mwenye id flani hivi ananiumiza kichwa mno... yaani nakuwa kama na fanya mahesabu kwa lugha ya kichina
naamini akiiona hii comment atanielewa..
Umeshamjua nn [emoji3] [emoji3] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeshamjua nn [emoji3] [emoji3] [emoji23]
Namhisi sijui n yeye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]duuh aiseeee
Ndo huyo huyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Namhisi sijui n yeye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HUYU INABIDI TUMKAMATE KWANINI NI MKWEPA KODI